Machi 4, 2025, Sugu aliposti picha mnato na video, akiwa na viongozi wa jumuiya ya wafanyabiashara wa jiji la Winston Salem, ...
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeeleza matokeo ya utafiti wake kwamba asilimia 40 hadi 45 ya wanaume nchini wana dalili ...
Watu 413 kati ya 1,598 waliofanyiwa uchunguzi wa usikivu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC, wamebainika ...
Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8, ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, wakazi wake wametaja fursa ...
Kufuatia kitendo hicho wabunge baadhi wamepata mshtuko ikiwemo kupata majeraha huku mmoja akipata kiharusi wakati wa vurugu ...
Kufanya hivyo ni kosa kwa mujibu wa Sheria namba 11 ya mwaka 2022 ya ulinzi wa taarifa binafsi huku adhabu yake iwapo shauri ...
Wakati joto la uchaguzi mkuu 2025 likiendelea kupanda ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na ...
“Siti hazikuwa katika ubora, idadi ya abiria ilikuwa kubwa kuzidi uwezo wa siti. Migogoro ikawa mingi. Tunaanza safari ...
Kipa wa Yanga, anayedakia Singida Black Stars kwa mkopo, Amas Obasogie ni miongoni mwa wachezaji walioitwa katika kikosi cha ...
Alidai kuwa, aliuza mali za chama hicho na baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2020, alifanya ushawishi kwa Rais ili ateuliwe kuwa ...
Mkutano huo unatarajia kukutanisha washiriki zaidi ya 1,000, wakiwemo watunga sera, viongozi wa Serikali kutoka nchi ...
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Geita umewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani humo kuvunja ukimya, na ...