News
Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Tuzo za Kimataifa za Utaili zijulikanazo kama World Travel Awards katika hafla ya kutangaza washindi wa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi. Hafla hiyo ya ...
Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na chama Cha mapinduzi ( CCM), wanachama hao wakiongozwa na aliyewahi kuwa diwani na mwenyekiti kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, ...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdul Kambaya, amewataka wananchi kuacha kuangalia siasa kwa jicho la ushabiki na badala yake kuitazama kama njia ya kupanga na kuboresha maisha yao ya kila siku, ...
Tamasha kubwa la kuombea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 linatarajiwa kuanza rasmi Juni 21, 2025 jijini Dar es Salaam, likihusisha waimbaji wa nyimbo za injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Tamasha ...
Libreville, Gabon – Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ameshinda uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi, kwa kupata zaidi ya asilimia 90 ya kura, kwa mujibu wa matokeo ya ...
Tanzania inatarajia kuacha kuagiza baruti na vilipuzi kutoka nje ya nchi kwa kuwa itajitosheleza kufuatia kuwepo kwa kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo hapa nchini. Kiwanda hicho cha ‘Solar ...
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana, Dk. Bryceson Kiwelu amesema maboresho yanayoendelea kufanywa katika hospitali hiyo pamoja na kufanya kazi kama timu kumewezesha kupata tuzo ya ...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuitisha mkutano wa wadau wa uchaguzi na demokrasia ili kujadili changamoto zilizopo katika ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko. Na Ramadhan Hassan, Mtanzania Digital NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kupitia Bunge Marathon 2025, bunge limepanga kukusanya Sh bilioni 3, kwa ajili ya ujenzi wa shule ya wavulana ya Bunge jijini Dodoma. Kauli hiyo ameitoa leo Aprili ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results